Timu ya wanawake ya Lugalo Golf Club imejiandaa vyema kuelekea nchini Uganda katika mashindano ya Kampala Ladies Open 2017 yakaoanza tarehe 7 na kuisha tarehe 9. Timu hiyo itaanza safari kesho kuelekea Uganda ikiwa na kikosi cha wachezaji 14.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo - Mwenyekiti wa Klabu ya Gofu Lugalo amesema timu hiyo itafanya vyema kutokana na maandalizi mazuri waliyofanya na walimu wameonesha mbinu za uchezaji pamoja ma sheria za kimataifa za mchezo huo pia wamefanya mechi za nyingi za majaribio.
Pia kiongozi mchezaji wa Timu hiyo Sophia Virgo amesema atawasimamia kwa umakini wachezaji wake na watandaa program ambayoitawasaidia vijana wengi kwenye soko la ajila kupitia mchezo wa Gofu

Kuagwa kwa Timu ya Wanawake-Lugalo Golf Club
Reviewed by Unknown
on
September 04, 2017
Rating:

No comments: