BREAKING NEWS: Waziri George Simbachawene Ajiuzulu



Hatua hiyo inakuja muda mchache mara baada ya agizo la Rais Magufuli kuwataka wateule wake wote waliotajwa kwenye ripoti mbili alizokabidhiwa Rais Magufuli na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa.

Simbachawene amewahi kuwa Naibu Waziri wa Nishati na madini Mei 2012-Janauri 2014, baada ya hapo akahamishiwa kwenye Wizara ya Nyumba na Makazi katika nafasi ya Unaibu waziri, na ilipofika Januari 2015 akateuliwa kuwa Waziri wa Nishati na Madini akichukua nafasi ya Prof Sospiter Muhongo aliyejiuzulu kufuatia kashfa ya Sakala la Uchotwaji wa Fedha kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.

BREAKING NEWS: Waziri George Simbachawene Ajiuzulu BREAKING NEWS: Waziri George Simbachawene Ajiuzulu Reviewed by Unknown on September 07, 2017 Rating: 5

No comments:

Chips Mayai Ni Hatari Kwa Afya Yako

Ulaji wa chips umetajwa kuwa hatari kwa afya ya Binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa figo, moyo, shinikizo...

Powered by Blogger.